• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NMB BENKI YATOA MSAADA WA ZAIDI YA MILIONI 20 WILAYANI NYASA

Posted on: July 7th, 2022

Benki ya NMB, Imekabidhi msaada wa bati,misumari, na Mbao wenye thamani ya Tsh 20,047,000(Milioni ishirini na elfu arobaini na saba) kwa ajili ya kuezeka, Shul;e ya Sekondari St Paul, Shule ya Msingi Litoromeo na Shule ya Msingi  Ngingama Wilayani Nyasa TAR 06.07.2022

Mgeni Rasmi katika Makabidhiano hayo ni  mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas, makabidhiano yaliyoyanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari St Paul Liuli, Wilayani Hapa.

Mkuu Huyo ameipongeza Benki ya Nmb  kwa kutoa msaada wa Vifaa hivyo kwa kuwa vitatatua changamoto ya madarasa katika shule hizo na ametoa Wito kwaTaasisi zingine kuiga mfano wa Benki ya NMB wa kusaidia kutatua changamoto mbalimbali katika Sekta ya Elimu ili kuunga Mkono juhudi za Serikali za kuboresha Sekta ya Elimu Nchini,na kuagiza uongozi wa shule kutumia vema msaada walioupata.

Awali akikabidhi Vifaa hivyo kwa Niaba ya Benki ya NMB, Meneja wa Kanda ya kusini Bi Janet Shango amesema Pamoja na mambo makubwa yanayofanywa na Serikali kama wadau wanao wajibu wa kuunga mkono juhudi za maendeleo kwa kusaidia jamii zetu kwa kutatua changamoto mbalimbali za maendeleo.

Ameongeza kuwa NMB walipopata Maombi ya kuchangia maendeleo ya elimu katika Wilaya ya Nyasa walifarijika na kuamua mara moja kuchangia, ili kuwa chachu ya maendeleo katika sekta muhimu ya elimu na kuongeza ari kwa wnafunzi kusoma kwa bidii na kushirikiana na jamii kutatua changamoto za miundombinu.

Ameitaja msaada waliochangia ni katika Shule ya Sekondari St Paul bati 200,mbao 725 Misumari kg 260 yenye thamani ya Tsh 12,727,000, katika Shule ya Msingi Litoromeo Kata ya Ngumbo ni Bati 100 nondo 100 thamani ni 3,400,000 na katika Shle ya      Msingi Ngingama ni Bati 120 zenye thamani ya Tsh 3,920,000 Vifaa vyote kwa vyenye thamani ya Tsh 20,047,000.

Aidha ametoa wito kwa jamii kuendelea kuitumia NMB Benki kwa maendeleo, kwa kuwa ni  Benki inayojali wateja wake na inasaidia wananchi wake.

Wakuu wa Shule hizo waliishukuru Benki ya NMB kwa kutatua changamoto za shule zao na kuahidi vifaa hivyo watavitumia vizuri kwa malengo yaliyopangwa.

Pia wanafunzi wa St Paul walisema wanaipongeza Benki ya NMB kwa kuwatatulia changamoto ya ukosefu wa Bwalo la chakula kwa kuwa awali hawakuwa nalo

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Dc Nyasa-Wasiopeleka watoto shule wajiandae kufungwa

    November 25, 2023
  • Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya mkuu wa Mkoa Ruvuma yakagua miradi ya Maendeleo, yampongeza Ded Nyasa USimamizi miradi

    November 18, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa awataka watumishi wa afya kutoa huduma Bora Kwa wananchi

    November 16, 2023
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa yapokea gari jipya la kubebea wagonjwa

    November 16, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.