• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Yaliyojiri Ziara ya Waziri wa Maji, Nyasa

Posted on: September 20th, 2024

KISHINDO CHA WAZIRI WA MAJI NYASA,TINGI,LUMEME,PUULU SONGAMBELE WACHEKA.

 Waziri wa maji Mhe. Jumaa Aweso(MB) Tarehe 19.09.2024  amefanya Ziara ya Kikazi wilayani Nyasa na kutembelea na kukagua Mradi wa maji wa Malungu utakaohudumia Kata ya Tingi.

Akizungumza na wananchi katika Viwanja vya mikutano,Kata ya Tingi amesema Serikali ya awamu ya sita imedhamiria kumtua mama, maji kichwani hivyo amewataka wananchi kutunza miundombinu ya maji ili iweze kutatua changamoto ya maji katika Kata ya Tingi.

Ameongeza kuwa Serikali imetoa Tsh bilioni 1.2 kwa ajili ya kutekeleza mradi huu ambao ulitarajia kuwafikia wananchi 9659 wa  Vijiji vya Malungu na Tingi, kata ya Tingi lakini miundombinu ilikuwa haikidhi mahitaji ya wananchi hali iliyomfanya aongeze milioni 100 kwa ajili ya kukamilisha Mradi huu.

Na amemtaka mkandarasi kukamilisha mradi huu kabla ya mwezi Novemba 2024.

Aidha amelipa Kiasi cha Shilingi milioni 145 kwa ajili ya mradi wa Puulu Songambele ambao ulikwama kwa ajili ya mkandarasi ambaye hakulipwa.

 Wananchi wa kata ya Tingi Wilayani Nyasa wameishukuru Serikali kwa kutatua changamoto ya miaka mingi ya ukosefu wa maji safi na Salama iliyokuwa inawakabili.

Aidha katika Kata ya Lumeme amewaacha wahandisi kufanya Tathimini ili aweze kutoa fedha ya kujenga Mradi wa Maji katika Kata ya Lumeme.

Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya ameishukuru Serikali kwa kuendelea kutatua changamoto za miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani Nyasa hasa sekta ya maji safi na salama kwa kuipa miradi mikuwa itakayotatua ukosefu wa maji na salama wilayani Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.