• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Yaliyojiri baraza la biashara Wilaya ya Nyasa

Posted on: October 28th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tarehe 27/10/2022 imefanya kikao Cha baraza la biashara Wilaya ya Nyasa, chenye lengo la Kuweka mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji Wilayani hapa.

Kikao hiki kinaendeshwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh.Aziza Mangosongo na kimewashirikisha wadau wote wa biashara wakiwemo wafanyabiashara na Viongozi wao, mamlaya ya mapato,benki na wafanyakazi mbalimbali.

Akifungua kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Nyasa amewataka wafanyabiashara kutoa kero zao zinazowapata katika shughuli zao na kuhakikisha zinapata ufumbuzi.

Pia ameiagiza Halmashauri ya Nyasa kutoa mikopo Kwa wafanyabiashara hao ili waweze kuongeza kipato Chao.

Pia amewataka watumishi wa uma nao kujikita katika shughuli za uzalishaji Mali baada ya muda wakazi na kuacha kutegemea mishahara peke yake.

Wafanyabiashara Wilayani Nyasa wamempongeza mkuu huyo Kwa kuhakikisha Kila baada ya muda hukutana na wafanyabiashara hao na kutatua changamoto zinazowakabili

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Maafisa habari/Tehama wapewa Mafunzo Ruvuma

    May 29, 2023
  • Dc-Nyasa TASAF NI Kiboko Cha utatuzi Kero za wananchi

    May 23, 2023
  • Uvuvi haramu marufuku ziwa Nyasa, wenye Nyavu haramu wajisalimishe

    May 18, 2023
  • Kikao Cha kamati ya Lishe

    May 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yampongeza Rais SAMIA jengo jipya la Utawala
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.