• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wananchi wa Kata ya Mpepo-Nyasa wameipongeza Serikali Kwa utatuzi wa kero ya Barabara Luhindo-Mpepo-DARPOR

Posted on: October 27th, 2023

Wananchi wa Kata ya Mpepo Wilayani nyasa wameipongeza Serikali Kwa kutatua changamoto ya Barabara ya Luhindo Mpepo DARPOR ambayo imetengezwa Kwa kiwango Cha changarawe na kupitika mda wote tofauti na Awali

Wananchi hao wameyasema tarehe 27/10/2023 katika mkutano wa hadhara alioufanya MKuu wa Wilaya ya Nyasa MH. Filberto Sanga wakati akihitimisha Ziara ya yake ya ukaguzi wa Barabara hiyo.

Wananchi wamefafanua kuwa Dapori ni Kijiji Cha mwisho kueleke Nchi ya Msumbiji na Barabara awali ilikuwa haipitiki na walikuwa wakitumia gharama kubwa za usafiri lakini Kwa sasa basi zinakuja na wanasafiri Kwa bei rahisi hivyo wanamPongeza Rais SAMIA Suluhu Hassan Kwa kutatua kero Ya Barabara na Umeme Kwa kuwa ni kero ambazo zilikuwa zinawasimbua Kwa muda mrefu.

Wamesema wameridhishwa na uendaji kazi wa Wakala wa Barabara za vijijini na mijini (TARURA )Wilaya ya Nyasa Kwa kuwa ni WAc hapakazi na wanatatua kero za wananchi.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa MH.Filberto Sanga amewapongeza TARURA na kusema Kwa ameridhishwa na mradi huo wa Barabara na kuwataka wananchi kufanya kazi Kwa bidii na kuitumia Barabara hiyo kama kichocheo Cha ukuaji wa uchumi.

Awali akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji wa mradi huo meneja wa TARURA WILAYANI NYASA Mhandisi Thomas Kitusi amesema Ujenzi wa Barabara ya Luhindo-Mpepo- Darpor Kwa kiwango Cha changarawe imetekeleza Kwa kutumia fedha ya Mfuko Maalum na lengo la kuboresha mawasiliano na huduma Kwa wananchi na kuunganisha N hi ya Msumbiji na Tanzania.

Ameongeza kuwa kazi zilizofanyika ni upanuzi wa Barabara Kwa kukata milika, Ujenzi wa kalavati lain 57 Ujenzi wa mitaro ya mawe,na Ujenzi wa madarasa 2 la Miata 16 na Miata 5 na mkandarasi aliyetekeleza mradi huu ni Ovans construction na mkataba wenye TSH 750,000,000 na mradi umekamilika Kwa TSH 749,495,575.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.