• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

UPIMAJI SHIRIKISHI WA ARDHI WASHIKA KASI MBAMBA BAY, WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI

Posted on: November 30th, 2020

Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Inaendelea na  zoezi la Urasimishaji wa makazi holela  ili wananchi waweze kumilikishwa kwa  kupatiwa hati miliki ya Viwanja vyao.Zoezi hili kwa sasa linaendelea katika Mji Mkongwe wa Mbambabay Wilayani Nyasa na Tayari Elimu ya Urasimishaji imeshatolewa kwa wakazi wa Mbamba bay na wameridhia zoezi hili kufanyika kwa kasi na kwa haraka kwa kuwa ilikuwa ni kero ya muda mrefu iliyokuwa inawakabili.Lengo la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ni  kupima maeneo yote Wilayani hapa lakini kwa sasa wataalamu wa upimaji wa ardhi , wanaendelea na Upimaji anaofanyika katika Kijiji cha Likwilu, na sasa wako Mbamba bay, na Lengo ni kupima Viwanja 1500.Upimaji huu ni shirikishi ambao unawashirikisha kikamilifu wananchi,  na tayari Mkutano wa hadhara umefanyika wa kuwajengea uwezo wananchi juu ya Upimaji wa Maeneo yao, na wananchi wanachangia Tsh 50,000 tu kiasi ambacho ni rafiki kwa wananchi wetu wa Wilaya ya Nyasa.Pichani ni Wataalamu wa Ardhi wakiwa pamoja na wananchi katika mkutano wa kuwajengea uwezo wananchi juu ya upimaji shirikishi wa Ardhi uliofanyika katika viwanja vya Soko la samaki Mbamba bay Wilayani Nyasa.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Nyasa kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani Kwa kupima V. V.U na kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia

    November 30, 2023
  • Dc Nyasa-Wasiopeleka watoto shule wajiandae kufungwa

    November 25, 2023
  • Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya mkuu wa Mkoa Ruvuma yakagua miradi ya Maendeleo, yampongeza Ded Nyasa USimamizi miradi

    November 18, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa awataka watumishi wa afya kutoa huduma Bora Kwa wananchi

    November 16, 2023
  • View All

Video

HAFLA YA UTIAJI SAINI MRADI WA UJENZI NA USANIFU BANDARI YA MBAMBA BAY
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.