• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Tunaimani na Serikali, wananchi wa Kata ya Mtipwili na Chiwanda

Posted on: June 7th, 2023

Wananchi wa Kata ya Mtipwili na Chiwanda Wilayani Nyasa wameipongeza Serikali Kwa kuwapa miradi ya Maendeleo inayotatua kero zao. Wameyasema hayo tarehe 06/06/2023 katika Ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua miradi ya Maendeleo aliyoifanya MKuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Filberto Sanga katika Kata hizo. Wananchi wamebainisha kuwa Serikali imeboresha Zahanati ya Kijiji Cha Chiulu Kwa kuipa milioni 42 katika mradi wa SWASH na kujenga kichomea taka ,kutengeneza miundombinu ya maji na ukamilishaji ijenzi wa vyoo Hali inayoongeza ubora katika Zahanati hiyo. Katika Shule ya msingi Mtipwili Serikali inatekeleza mradi wa Ujenzi wa matundu 18 vyoo na chumba maalum Cha wasichana katika mradi wa SWASH TSH milioni 36.1 Wananchi hao wameongeza kuwa bila miradi hii wangelazimika kuchanga fedha na kutekeleza miradi,wanaishukuru na kuipongeza Serikali. Akikagua Mradi wa ukamilishaji Bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Nyasa na Ujenzi wa Madarasa 3na matundu 3 shule ya msingi fedha za Boost ,Mkuu wa Wilaya ya Nyasa amewata wananchi kushiriki katika utekelezaji wa miradi Kwa kuwa ni yakwao. Aidha amewaagiza mafundi wahakikishe wanakamilisha miradi kabla ya Juni 30 mwaka huu. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa anaendelea na Ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua miradi ya Maendeleo katika mbalimbali za Wilaya ya Nyasa.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • NYASA bila ukatili inawezekana

    September 26, 2023
  • Dc Nyasa atembelea miradi ya Afya

    September 25, 2023
  • Kituo Cha Afya Kingerikiti

    September 25, 2023
  • Dc Nyasa apongezwa na wananchi utatuzi wa kero

    September 22, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.