• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

SUA yatoa mafunzo ya kuzuia mnyoo Tegu Nyasa

Posted on: October 6th, 2021

Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA),  Kupitia Mradi wa Custinet Africa unaofadhiliwa na Serikali ya Ujerumani,Wametoa mafunzo ya Udhibiti wa ueneaji wa Mnyoo Tegu kwa Nguruwe, kuanzia October 04 hadi 06, Wilayani Nyasa.

Mafunzo hayo yamefanyika shule ya msingi Zambia, na kushirikisha Viongozi wa kata,Vijiji,Wafugaji na wataalam wa Mifugo.Mafunzo haya yanafanyika kwasiku tatu, siku ya kwanza ni viongozi,siku ya pili naya tatu ni wanajamii yaani wawakilishi wa wafugaji na wanaojihusisha na kuchinja na kuuza nyama ya Nguruwe maarufu kama kitimoto katika kijiji cha Mbamba Bay na .

Lengo la mafunzo haya ni kulinda afya ya jamii dhidi ya Athari zitokanazo na Mnyoo Tegu wa Nguruwe,  na kuhamasisha ufugaji bora wa Nguruwe katika kuinua kipato cha kaya kwa  jamii ya wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Akitoa mafunzo hayo Mkufunzi Dr Ernatus Mkupasi, ameitaka jamii kuhamasika kutumia vyoo bora na kuzingatia Usafi wa mazingira, na ufugaji bora, ili kuzuia mnyoo tegu usisambae, Aidha ameeleza maana ya Mnyoo wa Tegu ni Mnyoo unaoambukizwa kati ya binadamu na nguruwe, Binadamu anaweza kupata mnyoo tegu kwenye misuli,ubongo,macho na sehemu nyingine za mwili, hali inayojulikana kitaalaam kama “taeniosis” na Nguruwe wanaozurura wanaweza kula kinyesi cha binadamu na kupata mabuu ya mnyoo tegu kwenye nyama na ubongo.

Washiriki wa mafuzo hayo wamekipongeza chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa kutoa mafunzo hayo na wameweka mikakati ya kutoa elimu kwa jamii na kuihamasisha jamii kuhusu Ufugaji bora, kuzingatia usafi wa mazingira, na kuwepo kwa vyoo bora katika maeneo yao.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.