• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NYASA YAPITISHA BAJETI YA BILIONI 24.5 YA MWAKA 2020/2021

Posted on: February 23rd, 2020

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma limepitisha Mpango na Bajeti ya TSh.bilioni 24.5 kwa ajili kutekeleza shughuli mbalimbali za Halmashauri zilizopangwa kufanyika kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021.

Mpango huo umewasilishwa na Kaimu Afisa mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Regius Sanane  katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Kepten John Komba , Mjini Mbamba-bay Wilayani hapa.

Bw. Sanane  alivitaja vyanzo vya mapato hayo kuwa ni makusanyo ya mapato ya ndani, Matumizi mengineyo, Mishahara(PE) na Miradi ya Maendeleo.

Aliongeza kuwa , bajeti hii inalenga ya kujenga msingi imara na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda, kuharakisha maendeleo endelevu,  kuboresha  hali ya maisha na ustawi wa jamii, na kuharakisha ustawi wa jamii utakaopunguza umaskini haraka.

Aidha,aliyataja malengo mengine  ni Kuinua ari ya utendaji kazi wenye tija na ufanisi,kuweka na kuimarisha ushiriki wa wadau wa ndani katika kupanga na kutekeleza mipango mbalimbali na kutmia uwepo wa mazingira mazuri ya nchi yetu kuimarisha shughuli za biashara kwa lengo la kuifanya Taifa letu kuwa Mhimili wa uzalishaji na kitovu cha biashara.

Maeneo mengine ambayo bajeti imezingatia ni ujenzi wa miundombinu ya Elimu ya Msingi na Sekondari, kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya, pamoja na kuongeza uzalishaji mazao ya biashara likiwemo,zao la kahawa,korosho na kokoa.

Aidha Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Altho komba   ametoa wito kwa wataalam kuendelea na mchakato wa kuiwasilisha bajeti hii sehemu zinazohusika  kwa kuwa  Baraza la madiwani limeshapitisha ,na Bajeti hii inalenga  kutatua  Kero za Wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.