- Home
- About Us
- Services
-
Administration
- Organization Structure
-
Departments
- primary education
- secondary education
- planning,statistics and monitoring
- Agriculture,Irrigation and Cooperative
- Community Development, Social Welfare and Youth
- Administration and Personnel
- Works and Fire Rescure
- Environmental and Sanitation
- Livestock and Fisheries
- Water
- Land and Natural Resource
- Health
- Unity/Sections
- Full Council
- Publications
- Media Center
- Projects
Lengo la kufanya kikao ni kusikiliza kero za wafanyakazi hao na kuzitatua ili kuongeza ufanisi wa utoaji huduma Bora za Afya Kwa wananchi wanaofika kutibiwa katika Hospitali hiyo.Akizungumza na watumishi hao amesikiliza kero mbalimbali, maoni na ushauri nankuahidi kutatua changamoto zote na kuwataka wafanyakazi hao kufanya kazi Kwa juhudi ili kutoa huduma Bora Kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.
