• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Maafisa Ugani watakiwa kuwatembelea wakulima

Posted on: September 6th, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaagiza maafisa Ugani wote kuhakikisha wanawatembelea wakulima mara kwa mara ili kutoa elimu itakayosaidia kulima kilimo chenye tija.

Kanali Thomas ametoa maagizo hayo wakati anazungumza na watumishi wa Idara ya Kilimo katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya  Wilaya ya Namtumbo hivi karibuni.

Amesema serikali imetoa pikipiki kwa maafisa ugani wote lengo kuu ni kuwawezesha  kuwafikia wakulima katika Kata na vijiji vyote ili wakulima waweze kulima kilimo cha kibiashara badala ya kilimo cha mazoea.

Akizungumzia migogoro baina ya wakulima na wafugaji,RC Thomas amesema serikali imetoa maelekezo ng’ombe wote wawekewe heleni sikioni  ili kuwatambua na  kudhibiti ng’ombe wanaongia kwenye mashamba ya wakulima Pamoja na kudhibiti wizi.

“Ng’ombe wote wanatakiwa kuwekewa heleni sikioni na kuingizwa kwenye mfumo,ng’ombe ambao hawatawekewa heleni hawataruhusiwa Kwenda popote,hivyo waambieni wafugaji watekeleze maagizo hayo kabla ya tarehe ya mwisho ya utekelezaji wa zoezi hili la kitaifa’’,alisisitiza Kanali Thomas.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa amewaagiza maafisa mazingira kusimamia usafi wa mazingira ili maeneo yote yawe safi na kuepuka magonjwa ya kuambukiza.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Dkt.Julius Ningu ameahidi kutekeleza maagizo yote aliyoyatoa Mkuu wa Mkoa hasa zoezi la ng’ombe wote kuwekewa heleni ambalo linatekelezwa na Halmashauri katika vijiji vyote wilayani humo kabla ya Septemba 30 mwaka huu.

Wilaya ya Namtumbo ni miongoni mwa wilaya tano zinazounda Mkoa wa Ruvuma,robo tatu ya wilaya hiyo imezungukwa na maeneo ya hifadhi ikiwemo hifadhi ya Taifa ya Nyerere na ushoroba wa Selous-Niassa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.