• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Komred Abeli Komba mwenyekiti wa CCM Nyasa,awaongoza Mashabiki wa Simba matendo ya huruma

Posted on: August 3rd, 2024

Wapenzi wa Klabu ya Simba Wilaya ya Nyasa wakiongozwa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Nyasa Comred Abeli Komba tarehe 03/08/2024 katika kusherekea kilele Cha wiki ya Simba (Simba day)  wamesherekea kwa kutoa huduma Mbalimbali katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

Huduma walizotoa ni Kufanya usafi wa mazingira maeneo ya Hospitali, Kuchangia Damu na Kugawa mahitaji Mbalimbali (Sabuni, juisi na maji) kwa Akina mama wajawazito, waliojifungua na wagonjwa wengine wodini.

Akizungumza kwa niaba ya mashabiki wa simba Wilaya ya Nyasa bw.Said Msagala amesema mashabiki hao wameamua kufanya matendo ya huruma kwa kufanya kazi hizo Ili jufanikisha sikukuu ya Simba.

Amewataka mashabiki kuendelea kuwapenda na kuwahudumia wahitaji kwa kuwa michezo ni furaha.

Akiongea kwa niaba ya Mganga Mfawidhi Katibu wa Afya wa Hospitali, aliwashukuru sana wapenzi wa Club ya Simba kwa Matendo yao ya huruma Hospitalini hapo kwakuwa yameleta faraja kubwa kwa wagonjwa pamoja na watumishi wa kituo hicho.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.