• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Kanisa la TAG Likwilu laadhimisha miaka 85,lawataka waumini kulinda amani ya Tanzania

Posted on: May 19th, 2024

Kanisa la TAG Likwilu usharika wa kusini, hivi karibuni limeadhimisha miaka 85 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania (zamani TANGANYIKA) Mwaka 1939.

Lengo la maadhimisho ni kuhamasisha amani na kumshukuru mungu kwa zawadi ya uhai kwa .

Akizungumza katika maadhimisho hayo mgeni rasmi aliyemwakilisha  mhe. Mkuu wa wilaya ya nyasa katika sherehe hizo, Afisa Tawala wa wilaya ya nyasa Benedicto Nsindagi, amewaomba waumini wa kanisa hilo kushiriki uchaguzi  wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika mwaka huu, na kutunza mazingira ili kuepuka athari zitokanazo na uharibifu wa mazingira.  

Amewashukuru Vongozi wa kanisa hilo  kwa kuhubiri amani na, ushirikiano wanaoutoa kwa serikali na jamii kiujumla hasa kupitia mchungaji Gideon Mwarabu wakifanikiwa kujenga jengo moja la shule ambalo lipo likwilu kata ya kilosa.


Aidha kwa nafasi nyingine  mwakilishi wa mkuu wa wilaya aliendesha  harambee ya ujenzi wa jengo jipya la kanisa hilo baada ya kusikia changamoto wanayokumbana nayo katika kanisa wanalotumia hivi sasa.

Awali mchungaji wa kanisa Hilo Gideon Mwarabu amewashukuru wote waliohudhuria na kuwataka kutuza zawadi ya amani aliyotupatia mwenyezi Mungu.


Ofisi ya Mkuu wa wilaya iliahidi kuwa  itachangia  kiasi cha shilingi laki mbili kwa ajili  ya ununuzi wa bati kwa ajili ya kanisa hilo.katika harambee hiyo Iliyoendeshwa na  mwakilishi wa  Mkuu wa wilaya alifanikisha kukusanya  kiasi cha shilingi....MILIONI MOJA LAKI 3 ISHIRINI NA NANE NA MIA SITA. NA bati 61

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.