• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Kamati ya Fedha Mipango na Utawala yakagua miradi ya Maendeleo

Posted on: August 18th, 2023

Kamati ya Fedha, Mipango na Utawala ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa tarehe 18/08/2023 imefanya ukaguzi wa miradi 7 ya Maendeleo katika kata ya Chiwanda, Mtipwili na Kilosa Tarafa ya Ruhekei Wilayani Nyasa.

Ukaguzi huu ni Wa robo ya nne 2022/2023 na umeongozwa na Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mh.Wayariki Kikasi aliyeambatana na wakuu wa Idara na Vitengo.

Akikagua miradi hiyo amewataka wazazi walezi kuhakikisha kuwa wanawapa chakula wanafunzi kipindi wanapokuwa shuleni.

Amefafanua kuwa amefurahishwa alipokuwa katika kata ya Chiwanda amekuta wanafunzi wanakula shuleni katika Shule ya Sekondari Nyasa hivyo amesema wanafunzi kula shuleni Kwa shule zote za msingi na Sekondari ni lazima sio hiari.

Ametoa wito Kwa Watendaji wa Kata na vijiji kuwa chukulia hatua Kali za kisheria wazazi wasiowapa chakula watoto.

"Miundombinu ya Bweni la wasichana la shule hii ya Nyasa sec imekamilika nitoe wito Kwa wazazi walezi kuhakikisha watoto wanapata chakula wawapo shuleni,na hili sio ombi ni Lazima"

Awali akitoa taarifa ya chakula mashuleni Mtendaji wa Kata ya Chiwanda Charles Chikuni amesema shule zote katika kata yake zinatoa chakula.

Miradi iliyotembelewa na kati hiyo ni Ujenzi wa madarasa 3 s/m Chiwindi,Bweni la wasichana shule ya Sekondari Nyasa,vyoo vya shule ya msingi Mtipwili, Ujenzi wa madarasa 3 s/m Nangombo Ujenzi wa shule mpya ya Kilosa, Bweni la wasichana la shule ya Sekondari Limbo na Bwalo la chakula shule ya Sekondari Limbo.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Nyasa kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani Kwa kupima V. V.U na kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia

    November 30, 2023
  • Dc Nyasa-Wasiopeleka watoto shule wajiandae kufungwa

    November 25, 2023
  • Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya mkuu wa Mkoa Ruvuma yakagua miradi ya Maendeleo, yampongeza Ded Nyasa USimamizi miradi

    November 18, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa awataka watumishi wa afya kutoa huduma Bora Kwa wananchi

    November 16, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.