• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

JENGO la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kuanza kutumika Oktoba Mwaka huu

Posted on: September 21st, 2022

Mradi wa ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma upo katika hatua za umaliziaji na linatarajiwa kuanza kutumika rasmi Oktoba mwaka huu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama  amemweleza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas alipofanya ziara ya kikazi kutembelea mradi huo Tarehe 21.09.2022.

serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 3.3 kutekeleza mradi huu na kwamba hadi kukamilika jengo hilo linatarajia kutumia shilingi bilioni 3.8.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameridhishwa na hatua ya ujenzi wa jengo hilo ambapo amemuagiza Mkandarasi kuhakikisha anakamilisha ujenzi kwa asilimia 100 ili lianze kutumika rasmi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha sikukuu ya Uhuru Kwa kufanya Kongamano

    December 09, 2023
  • Dc Nyasa, na Mbunge Manyanya, waongoza Usafi wa mazingira Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    December 08, 2023
  • Wilaya ya Nyasa inaadhimisha juma la uhuru wa Tanzania bara kwa kufanya shughuli mbalimbali

    December 07, 2023
  • Nyasa kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani Kwa kupima V. V.U na kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia

    November 30, 2023
  • View All

Video

HAFLA YA UTIAJI SAINI MRADI WA UJENZI NA USANIFU BANDARI YA MBAMBA BAY
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.