• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Halmashauri ya Wilaya ya nyasa yatoa mafunzo Kwa wananchi ya ardhi

Posted on: November 13th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa hivi karibuni, imetoa Mafunzo ya ardhi kuhusu wawekezaji maeneo ya migodi (uchimbaji wa makaa ya mawe) na kusikiliza kero za wananchi,Kwa wananchi wa vijiji vya Yola na Liwundi katika kata ya Liwundi Wilayani Nyasa.

Elimu imetolewa na Mkuu wa Idara ya Ardhi Wilayani hapa PHiloteus Komba, na mwanasheria wa Halmashauri Dotto Nyankulungu katika mafunzo yaliyofanyika Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Liwundi.

Lengo la mafunzo hayo ni kuwaelimisha wananchi juu ya umiliki wa ardhi yenye madini .

Akiwasilisha mada ya umiliki wa ardhi Afisa ardhi Komba, amesema Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania a mwaka 1977 ibara ya 24 Kila Raia wa Tanzania anayo haki ya kumiliki Mali ikiwemo Ardhi.

Pia alisema maana ya ardhi "inajumuisha USO/tabaka la juu ya Nchi iliyoko chini ya ardhi uso wa Nchi na vitu vyote isipokuwa madini na mafuta.

 Alifafanua kuwa umiliki wa ardhi unapoathirika Kwa namba yoyote ikiwemo kutwaliwa Kwa manufaa ya Umma au Kwa namba yoyote mmiliki wa ardhi anastahili kulipwa Fidia kamili na ya haki.

Hivyo basi mwekezaji au Taasisi inapohitaji  kutwaa ardhi iliyoendelezwa na mwananchi,Kwa ajili ya shughuli yoyote ikiwemo uchimbaji madini anatakiwa kulipa fidia Kwa wamiliki wa ardhi.katika utaratibu wa kulipa fidia taratibu Kwa mujibu wa Sheria ya uthamini wa Mali mbapo mthamini wa serikali atakuwa kufanya uthamini Kwa wamiliki wa ardhi inayoathirika.

 Aliwataka wananchi kuzingatia taratibu kama Kuna mwekezaji akihitaji kutwaa maeneo waitaarifu Ofisi ya Mkurugenzi ili mthamini wa serikali aweze kwenda kijiji husika Kwa ajili ya kufanya uthamini wa ardhi na  mali za wananchi zilizopo kwenye ardhi na mwananchi apate fidia ya haki.

Naye mwanasheria amewataka wananchi kufuata taratibu za kisheria pindi wanapouza maeneo Yao .

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.