• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI KUU CCM Nyasa yampongeza Mbunge,Manyanya

Posted on: September 13th, 2022

Kikao Cha Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyasa kimempongeza Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya ka kazi kubwa anayoifanya ya kutekeleza miradi ya kimkakati inayoipa tija ya Maendeleo Wilaya ya Nyasa.

Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyasa wameyasema hayo tarehe 12/09/2022 katika Ukumbi wa Chuo Cha ufundi stadi VETA Nyasa.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyasa Fidelis Duwe amesema Kwa muda mchache Wilaya ya Nyasa imepiga hatua Kali za kimaendeleo na kuongea fursa za kiuchumi kukua.

Ameongeza kuwa Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya amekuwa mstari wa mbele kuleta miradi ya kimkakati inayoongeza kuchochea Maendeleo Wilayani Nyasa.

Ameitaja baadhi ya miradi ni Chuo Cha ufundi stadi VETA Nyasa,hospitali ya Wilaya ya Nyasa,vituo vya afyavya Kingerikiti na Liparamba, Bandari ya Ndumbi, Barabara ya Mbinga -mbamba, Barabara ya kitai Lituhia na Barabara zingine zinazojengwa.


































Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.