• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Hali ya Lishe Nyasa inaendelea Vizuri -Dc Nyasa

Posted on: July 25th, 2024

Wilaya ya Nyasa imefanya kikao Cha tathimini ya Hali ya  lishe, kichofanyika tarehe 24 July 2024  katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa.

Akizungumza katika kikao hicho, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh.Peres Magiri,aliyewakikishwa na Katibu Tawala ya wilaya ya Nyasa Bw.Salum Ismail  amesema kuwa Hali ya Lishe kiwilaya ni nzuri na   na hatua zaidi zinazidi kufanyika ili kuimarisha Lishe wilayani hapa.


Akiwasilisha taarifa ya mafanikio ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe  Kwa mwezi Januari-Machi, Afisa Lishe wilaya amesema kuwa watoto wote wanaopatikana na utapiamlo mkali wanapatiwa matibabu na kupona na Idara mtambuka zilionyesha ushirikiano Mzuri katika suala Zima la Lishe ,na  watoto wenye umri chini ya miaka mitano walipatiwa matone ya Vitamin A ndani ya Mwezi wa kampeni.


Aidha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa bw.Pasifiki Mhapa amewataka wajumbe  wa kikao hicho Kwa Upande wa Watendaji kata kuhakikisha Wanafunzi wote wanapata chakula shuleni ili  kudumisha Lishe na Afya  ya wanafunzi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • Tangazo la Mikopo October 09, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.