• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Ded Nyasa awataka wananchi, madiwani,watendaji kukusanya mapato ya ndani

Posted on: July 14th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif Tarehe 13/07/2023 amefanya Ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua,vizuizi vya ukaguzi wa mapato katika kata Sita za Tarafa ya Mpepo Wilayani Nyasa.

Lengo la Ziara hiyo ni kuwatembelea walinzi wa vizuizi, wanaokagua mapato ,kujua kero wanazokutana nazo ili kuweza kutatua,kuboresha na kuongeza mapato ya ndani katika Halmashauri ya nyasa.

Akizungumza wakati akikagua mageiti hayo amewataka walinzi kufanya kazi Kwa juhudi ya kulinda mapato ya Wilaya ya Nyasa yasipotee Wala kutoroshwa ili Halmashauri ikusanye vizuri na hatimaye kutoa huduma Bora Kwa wananchi.

Ameongeza kuwa  mapato ni uti wa mgongo wa Halmashauri hivyo tunakila Sababu ya kukusanya mapato ya ndani kikamilifu, na kuzuia utoroshaji wa mapato na kuongeza vyanzo vipya vya mapato.

Ametoa wito Kwa wananchi, watendaji Ngazi zote na waheshimiwa madiwani, pamoja na wenyeviti wa vijiji na vitongoji kuhakikisha wanaunga mkono zoezi Zima la ukusanyaji mapato katika maeneo Yao.

Kata alizotembelea ni Mipotopoto,(konganywita) Mpepo (darpor) Liparamba,Tingi (Lulimbo)Upolo, Luhangarasi pamoja na Kingerikiti geiti la Ukuli.

Pichani Ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw.Khalid Khalif akizungumza na walinzi wa vizuizi vya ukaguzi wa mapato katika kata mbalimbali,akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa Task force ambaye pia ni Mkuu wa Divisheni ya Mipango na Uratibu Christopher Ngonyani na Meneja wa Mapato Ndugu Mashalo Matola.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Nyasa kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani Kwa kupima V. V.U na kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia

    November 30, 2023
  • Dc Nyasa-Wasiopeleka watoto shule wajiandae kufungwa

    November 25, 2023
  • Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya mkuu wa Mkoa Ruvuma yakagua miradi ya Maendeleo, yampongeza Ded Nyasa USimamizi miradi

    November 18, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa awataka watumishi wa afya kutoa huduma Bora Kwa wananchi

    November 16, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.