• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

CCM RUVUMA yampongeza DED Nyasa kuleta Vifaa Tiba

Posted on: August 13th, 2024

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Mhe. Oddo Mwisho amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif kwa Kuleta Vifaa Tiba vya kisasa kutoka Ulaya ili kutatua changamoto, na kuboresha  Sekta ya Afya Wilayani hapa.

Pongezi hizi amezitoa Tarehe 13.08.2024 katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa alipotembelea kwa ajili ya kukagua na kukabidhi vifaa Tiba vilivyotopatikana kwa ushirikiano wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na  Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Human Bridge la Nchini Sweeden.

Akikabidhi Vifaa Tiba vya kisasa amesema Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa amefanya kazi kubwa sana ya kuomba na kupewa Vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Bilioni 2.4 ambavyo vinakwenda kutatua changamoto ya vifaa Tiba katika Vituo vya kutolea  huduma za afya hivyo wananchi watarajie kupata Huduma bora za afya.

Ameongeza kuwa,Ubunifu uliofanywa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa ni mfano wa kuigwa na wataalamu wetu na sio kila kitu kuitegemea Serikali ifanye au ilete.

“tunakupongeza sana Mkurugenzi kwa kazi nzuri ya ubunifu kwa kuleta vifaa vyenye thamani ya Tsh Bilion 2.4 ili kutatua changamoto ya Vifaa tiba tunawataka wataalamu wengine waige mfano huu na sio kusubiri kila kitu kuletewa na Serikali”

Awali akisoma taarifa ya Vifaa hivyo Mganga Mkuu  wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Dkt.John  Mrina amesema vifaa tiba vinakwenda  kutoa huduma bora ya matibabu, kwa Wagonjwa watakaokuja kupata matibabu katika hospitali ya Wilaya na vituo vya Afya na Zahanati. Aidha Vinakwenda kuimarisha huduma Bora za Afya kwa Wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Amevitaja baadhi ya vifaa ni mashine ya usingizi (Anaesthetic.") ambayo awali kulikuwa na mashine moja na hii itakuwa ya pili, pamoja na mashine ya kuzuia damu isitoke wakati wa upasuaji. Hali itakayosaidia kurahisisha utoaji wa huduma ya matibabu kwa Wagonjwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw.Khalid Khalif , ametoa Pongezi kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na mahusiano mema kwa Nchi za Ulaya.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.